Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Katika ban lao sijasikia hilo nilichosikia ni matumizi ya google services.Lakini sio kwamba hizi app ni za US na serikali yake inapiga marufuku kwa kampuni hizi kufanya ushirikiano na China, sababu ya kuwa serikali ya China itakuwa inachakachua information za watu.
Tatizo sio kwamba whatsapp, twitter, facebook, instagram lazima uwe google lakini kama ni mfumo wa Mchina sijui kama US itaruhusu kampuni zake kufanya kazi na operating system ya China labda app yao tiktok tu...
Lakini hata tu assume ni kweli, mimi nilichopingana na huyo jamaa ni kutaka kuongopea watu kuwa hizo app zote zinategemea google services, ndiyo maana nikamtajia iOS na KaiOs zote hizo wanazimiliki wamarekani.