Harmony OS 2 yaonesha kwamba China inajitegemea katika uvumbuzi wa sayansi na teknolojia

Katika ban lao sijasikia hilo nilichosikia ni matumizi ya google services.
Lakini hata tu assume ni kweli, mimi nilichopingana na huyo jamaa ni kutaka kuongopea watu kuwa hizo app zote zinategemea google services, ndiyo maana nikamtajia iOS na KaiOs zote hizo wanazimiliki wamarekani.
 
Nimemuongopea nani na uongo upi?....ndugu acha kuwa na kipere utaliwa boya wewe
 
Nimemuongopea nani na uongo upi?....ndugu acha kuwa na kipere utaliwa boya wewe
Umeongopa eti whatsapp, instagram, facebook, twitter haiwezi fanya kazi bila google services. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kubali tu kuwa uliandika kitu usichojua kwani kukosea ni shida? Wewe ndiye boya unajua kuwa hukuwa unajua bado unashupaza shingo kama siyo ufala ni nini.
Nimemaliza siwezi endelea bishana
 
Sikia wewe kitobo....kusema huwezi kutumia bila Google services ndo nimesema hizo app mali ya Google?...acha kudandia gali kwa mbele utaliwa shwain wahedi
Babaa mambo mageni kwako hayaa...uliona wapi kua bila Google services huwez tumia hizo apps alaf bado unakaza kichwa
 
Mkuu umewahi tumia Baidu? WeChat ninaitumia, ingawa huwa yaniletea shida kwenye simu. Nikiitoa, hupa sipati hizo shida.
Baidu articles nyingi ni za kichina hata Baidu map ipo china pekee yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…