Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Ashukuriwe pia moze iyobo kampandisha Sana kabeba jukumu la boss wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii habari umeitoa TBC nini?Harmorapa si wa mchezo mchezo, jina lake lawashtua MTV Base ya Afrika Kusini. Time ya HarmoRapa kwenye Game muda huu “Kiboko ya Mabishoo” imekuwa moto kwelikweli.
View attachment 480987
Kama ulikuwa ufahamu ukiaachana na ishu za politics ndiye msanii anayeongoza kwa kutajwa katika Media na headlines mbalimbali za ndani na nje ya nchi. Harmo ni moto sana hashikiki kwenye Interview this time amealikwa kwenye kitimoto katika kipindi cha “Papo kwa Papo na Papi” siku ya Jumatano.
Kuingia katika session ya Papo kwa papo na si mchezo hii imedhihirika kutokana na maombi ya watu kupendekeza jina la Harmo akalie kiti cha moto.
Ikiwa hiyo haitoshi kituo cha burudani MTV Base East kupitia mtandao wa Twitter umemtaja msanii huyo Video yake ya “Kiboko ya Mabishoo” kuwa ndiyo video inayoshika namba moja kwa kuchezwa na kuombwa mara nyingi.
View attachment 480977
MTV base ya east AfricaHii habari umeitoa TBC nini?
Dah Kuna kiki zingine hata kwenye honda hazipo
Ukipata staili yako tu best umetoka embu tuwe na kikao cha dharura na sie tutafute kikimjini kiki tu hahaaaaaa
Umemsahau alikibaAkina nyandu tozi, timbulo, linex, malaika, bekA, pnc, na wengine type hizo wakalale dogo anakimbiza mbaya
Akina nyandu tozi, timbulo, linex, malaika, bekA, pnc, na wengine type hizo wakalale dogo anakimbiza mbaya