Harmorapa awashtua MTV base ya south Africa

Harmorapa awashtua MTV base ya south Africa

Ukitakaa kujua kuna mijitu ina chuki chili hapa usome comments.
 
Ukiachana na Habari za bashite jina linalofatiwa kwa kuandikwa na kutajwa sana ni la huyu harmoRapa
 
Harmorapa si wa mchezo mchezo, jina lake lawashtua MTV Base ya Afrika Kusini. Time ya HarmoRapa kwenye Game muda huu “Kiboko ya Mabishoo” imekuwa moto kwelikweli.
View attachment 480987
Kama ulikuwa ufahamu ukiaachana na ishu za politics ndiye msanii anayeongoza kwa kutajwa katika Media na headlines mbalimbali za ndani na nje ya nchi. Harmo ni moto sana hashikiki kwenye Interview this time amealikwa kwenye kitimoto katika kipindi cha “Papo kwa Papo na Papi” siku ya Jumatano.

Kuingia katika session ya Papo kwa papo na si mchezo hii imedhihirika kutokana na maombi ya watu kupendekeza jina la Harmo akalie kiti cha moto.

Ikiwa hiyo haitoshi kituo cha burudani MTV Base East kupitia mtandao wa Twitter umemtaja msanii huyo Video yake ya “Kiboko ya Mabishoo” kuwa ndiyo video inayoshika namba moja kwa kuchezwa na kuombwa mara nyingi.
View attachment 480977
Hii habari umeitoa TBC nini?
 
Fake news TBC 9 wamesimamishwa kazi vipi na we unataka ban?
 
Back
Top Bottom