Usifananishe chui na paka,mtake ladhi huyo mzeeHuyu Dogo anavituko kama Mzee juto
Ni ndg yako kutoka NtwaraAtakuwa mwenyeji wa wapi uyu?
Namkubali sana aiseeHahahah mkuu na wewe umamuelewa Harmorapa nini?lol
Basi kijana ameshatoka.Namkubali sana aisee
HahaaaaaaaaaBasi kijana ameshatoka.
Huyo mwanadada ni Mama yake au ndo demu wake. Kama anambemenda vile
Hahahaaaaaaaaah of courseHahaaaaaaaaa
Kwa sababu Bala kasema...
'Uthitoe pathi' mwanangu Nifah
Nilikwambia mwanangu...Huyu mtoto ana uthubutu na anajiamini...So confident..Haya leo kamtembelea Godfather wa Bongo Flava...Na dizaini kama Majani atamtoa..Hahahaaaaaaaaah of course
Nikujuavyo kwa taste yako unaujua muziki mzuri.
Sasa kama umekumbali kijana hakuna namna anaweza kushindwa 'kutoboa'.
'Thitoi na thitotoa' Dady...lol
Hahahaaaaaaaah kijana kajipanga kwelikweli.Nilikwambia mwanangu...Huyu mtoto ana uthubutu na anajiamini...So confident..Haya leo kamtembelea Godfather wa Bongo Flava...Na dizaini kama Majani atamtoa..
I like this kid aisee...Harmoraba baby!
View attachment 467853
Sura ya mwanaume hiyo mkuuSio siri jamaa ana sura ngumu,
Ulichokiandika unakielew kabisa?Imebaki kuletewa harmorappa AKINYAAAA......ahahahaaa.
Ila mbona dogo anawatia jambajamba timu fulani hapa mjini...MULIYAANZA WENYEWEEEE ohhho kaiba jina letu mara ohhh kafanana na nyani mara sokwe.....sasa dogo ameamua kuwanyoooshaaaaa....dogo anayajua malavidav balaaa kuliko hata aliyeporwa jina. ....
SIKU MUKIACHA DHEREU NDIO SIKU DOGO ATAACHA KICK NA UTAFUATA MUZIKI.......