Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Leo nakoment kwa mara ya mwisho thread yoyote itakayomhusu huyu dogo mpaka atakapotoa ngoma nyingine.
 
Hahaaaaaaaaa

Kwa sababu Bala kasema...

'Uthitoe pathi' mwanangu Nifah
Hahahaaaaaaaaah of course
Nikujuavyo kwa taste yako unaujua muziki mzuri.
Sasa kama umekumbali kijana hakuna namna anaweza kushindwa 'kutoboa'.

'Thitoi na thitotoa' Dady...lol
 
Mnazidi kumpaisha tu....,watanzania mmelogwa na nani?
 
Hahahaaaaaaaaah of course
Nikujuavyo kwa taste yako unaujua muziki mzuri.
Sasa kama umekumbali kijana hakuna namna anaweza kushindwa 'kutoboa'.

'Thitoi na thitotoa' Dady...lol
Nilikwambia mwanangu...Huyu mtoto ana uthubutu na anajiamini...So confident..Haya leo kamtembelea Godfather wa Bongo Flava...Na dizaini kama Majani atamtoa..

I like this kid aisee...Harmoraba baby!
IMG-20170206-WA0018.jpg
 
Nilikwambia mwanangu...Huyu mtoto ana uthubutu na anajiamini...So confident..Haya leo kamtembelea Godfather wa Bongo Flava...Na dizaini kama Majani atamtoa..

I like this kid aisee...Harmoraba baby!
View attachment 467853
Hahahaaaaaaaah kijana kajipanga kwelikweli.
Dah nimecheka sana.

Ingekuwa enzi ya JK nisingeshangaa kumuona Ikulu...lol
 
Mbona haeleweki, hivi huyu ni muimbaji au vituko show[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Imebaki kuletewa harmorappa AKINYAAAA......ahahahaaa.
Ila mbona dogo anawatia jambajamba timu fulani hapa mjini...MULIYAANZA WENYEWEEEE ohhho kaiba jina letu mara ohhh kafanana na nyani mara sokwe.....sasa dogo ameamua kuwanyoooshaaaaa....dogo anayajua malavidav balaaa kuliko hata aliyeporwa jina. ....

SIKU MUKIACHA DHEREU NDIO SIKU DOGO ATAACHA KICK NA UTAFUATA MUZIKI.......
Ulichokiandika unakielew kabisa?
 
Anatoa.watu kwenye kufuatilia maandaalizi ya 40th .......
 
Back
Top Bottom