Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Huyo dogo asiwaumize kichwa hizo pesa ni za huyo manager/boss wake na sio kimziki tu huyo Harmorapa anauza duka la huyo bosi (bosi anauza magari na spares) hivyo dogo akishapokea mkwanja wa mahesabu kama hivyo ndo anapiga picha.
Source: TV 1, dogo alikiri kuuza duka la bosi na hizo pesa ni za mahesabu
 
Watu wanatafuta kiki kupitia mshamba huyo....kwalipi alofanya amiliki pesa hiyo???tizameni mara mbili unamdagani ameingia anga lamziki nanini amefanya ili amiliki pesa hiyo???
 
Ajawahi shika hela km sikosei hizo dola ni kumi kumi ajazoea kuhesabu hawa Jamaa si ndo wale waliomnywesha mbuzi bia ujanja wa kizamani
 
hahahahaha hamorapa jaman,mimi sio hater ila huyu mtoto anguko lake tayari limefika,mungu msaidie aiseee.....kama kiki hivi naona
 
Pouhmedia na Hamorapa

Nahisi mmeamua kutengeneza pesa kupitia huyu dogo.

Habari zote za kiki za hamorapa mnaleta nyie.

Yote kwa yote kuna mtu alisema "Wenye pesa hawazipigi picha" na kama za kwako basi umezipata bila jasho au kwa mkupuo.
 
Yani huyu raia ndo hata beat ya wimbo wake tu siijui achilia mbali wimbo kabisa. Lakin kila siku nakutana na habari zake. Wasi wasi wangu ni kwamba kwa mtindo huu vya kuongelewa vikiisha atasahauliwa na watu
 
Pouhmedia na Hamorapa

Nahisi mmeamua kutengeneza pesa kupitia huyu dogo.

Habari zote za kiki za hamorapa mnaleta nyie.

Yote kwa yote kuna mtu alisema "Wenye pesa hawazipigi picha" na kama za kwako basi umezipata bila jasho au kwa mkupuo.
Upo Sahihi Mkuu. Wakubwa Tunaelewa What's Up!
 
Back
Top Bottom