Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Jamaa kwa kiki ni noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia YouTube kana singo moja andika hamorapa ,aka hamokiki kanacheza na media.Ongeza bidii dogo sio daily ni KG tu zamu hii Mtwara kuchee maning nice moja.ana wimbo japo mmoja niusikilize???
Ingia YouTube kana singo moja andika hamorapa ,aka hamokiki kanacheza na media.Ongeza bidii dogo sio daily ni KG tu zamu hii Mtwara kuchee maning nice moja.
natakiwa aunganishwe centralkafanya show gani mpaka apate madola yote hayo
kafanya show gani mpaka apate madola yote hayo
utoto+ushamba=???
Upo Sahihi Mkuu. Wakubwa Tunaelewa What's Up!Pouhmedia na Hamorapa
Nahisi mmeamua kutengeneza pesa kupitia huyu dogo.
Habari zote za kiki za hamorapa mnaleta nyie.
Yote kwa yote kuna mtu alisema "Wenye pesa hawazipigi picha" na kama za kwako basi umezipata bila jasho au kwa mkupuo.