Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 734
Kwa kazi gani?au ndio ngada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa1. Aangalie asije akahusishwa na...
2. Nilidhani hatoziokota... wenzake wanaziachaga tu, wengine wanakuja kuzigombania.
3. Anayemtumia anamtumia vibaya sana... atakuja kumshusha vibaya sana..
4. Wengi wanaojionesha kwenye mitandao ya kijamii kwamba wana maisha fulani ya juu au mbwembwe, kiuhalisia hawana hayo maisha, mwenye nacho hatumii nguvu kujulikana... Pesa huongea yenyewe, hujielezea yenyewe...
Alivyochoka kwanza....Watu wanatafuta kiki kupitia mshamba huyo....kwalipi alofanya amiliki pesa hiyo???tizameni mara mbili unamdagani ameingia anga lamziki nanini amefanya ili amiliki pesa hiyo???
Anaweza akawa na urafiki na wakina deliciouskafanya show gani mpaka apate madola yote hayo