ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
mtoto wa kiume huwa hana maneno ya shombo uta kazwa uki jilegezaSio siri jamaa ana sura ngumu,
huyu jamaa mpaka agonge wake zenu ndio mta mpa heshima yake kila mtu ata kula ulefu wa kamba yake ila mda mwingine labda hije huruma ya mchungaji ndio uta kula palefu acheni dharau watoto wa kiume kama wewe sura yako nzuri mbona mkeo ana chepuka....!!!!?????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asante kwa kunisaidia.Unajua maana ya kuwa sober?
"Mabata madogo dogo yanaogelea"Huyu dogo kaimba wimbo upi
Ni minyuzi kabisaa si urongoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaaaaaah kijana kajipanga kwelikweli.
Dah nimecheka sana.
Ingekuwa enzi ya JK nisingeshangaa kumuona Ikulu...lol
huyu jamaa mpaka agonge wake zenu ndio mta mpa heshima yake kila mtu ata kula ulefu wa kamba yake ila mda mwingine labda hije huruma ya mchungaji ndio uta kula palefu acheni dharau watoto wa kiume kama wewe sura yako nzuri mbona mkeo ana chepuka....!!!!?????
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hawa watakuwa washaunganisha vikojoleo sio bure