Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

huyu jamaa mpaka agonge wake zenu ndio mta mpa heshima yake kila mtu ata kula ulefu wa kamba yake ila mda mwingine labda hije huruma ya mchungaji ndio uta kula palefu acheni dharau watoto wa kiume kama wewe sura yako nzuri mbona mkeo ana chepuka....!!!!?????
 
Huyu dogo anajibandika yeye au kuna watu wanamuweka tu ili apate kick?
 
Team Madale roho zinawauma Nyani anavyozidi kuwaamisha mji.

Kinyago walichokichonga wenyewe sasa kinaanza kuwatisha
 
Hahahaaaaaaaah kijana kajipanga kwelikweli.
Dah nimecheka sana.

Ingekuwa enzi ya JK nisingeshangaa kumuona Ikulu...lol
huyu jamaa mpaka agonge wake zenu ndio mta mpa heshima yake kila mtu ata kula ulefu wa kamba yake ila mda mwingine labda hije huruma ya mchungaji ndio uta kula palefu acheni dharau watoto wa kiume kama wewe sura yako nzuri mbona mkeo ana chepuka....!!!!?????

Sijaona connection ya post yangu hii uliyoniquote (video) na haya uliyoyaandika?..

Sijakuelewa mkuu...
 
Back
Top Bottom