Harmorapa Fans' Special Thread...

1. Aangalie asije akahusishwa na...
2. Nilidhani hatoziokota... wenzake wanaziachaga tu, wengine wanakuja kuzigombania.
3. Anayemtumia anamtumia vibaya sana... atakuja kumshusha vibaya sana..
4. Wengi wanaojionesha kwenye mitandao ya kijamii kwamba wana maisha fulani ya juu au mbwembwe, kiuhalisia hawana hayo maisha, mwenye nacho hatumii nguvu kujulikana... Pesa huongea yenyewe, hujielezea yenyewe...
 
Kweli kabisa
 
Eti pesa haipatikani maisha magumu
 
Apo dares a lama, ukiwa mtu wa kiki unaingiza mshahara eeh.
 
huyu bwana nae sasa kazimwaga afu anaziokota tena mwenyewe
 
Harmorapa yupo busy na kutengeneza video ya music wake,na atakuwa ni msani wa kwamza tanzania kufanya kazi zake mjini newyork ,watanzania tumuunge mkono Harmorapa king of kiki .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…