Harmorapa Fans' Special Thread...

Mwenye ufahamu anijuze wimbo wa huyu new kid on the block.
 
Asipo tumia nafasi kama hii kuwamega vichwa maji unadhani atapatawapi chance kubwa kama hii..go go... hamo..ila kumbuka kutumia ndomu
 
anasema kawapitia madema 76, ina maana ikiwepo wake wa mastaa, ngojea shilawadu waje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…