Harmorapa Fans' Special Thread...

Ila kawapatia sana celebrity wa kibongo maana wengi wao maisha ni full movie yaani maigizo mwanzo mwisho so dogo nae hivo hivo
 
Kazi zake ziko tayari,sasa hivi anatengenezewa mazingara/being branded tayari kulivamia soko la muzik,inasadikika hii ni brain child ya Le mutuz na Swahili radio.
 
Harmo rappa afanye mziki sasa aache ujinga
 
Kazi zake ziko tayari,sasa hivi anatengenezewa mazingara/being branded tayari kulivamia soko la muzik,inasadikika hii ni brain child ya Le mutuz na Swahili radio.
Hivi ni kweli mkuu au unatania...
kwa hiyo le mutuz anafuata nyayo za sk mendez
 
hizi kiki wanazompa huyu jamaa dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…