Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Ila kawapatia sana celebrity wa kibongo maana wengi wao maisha ni full movie yaani maigizo mwanzo mwisho so dogo nae hivo hivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Kwanini umechungilii paja la watuhiyo picha ya juu kulia hiyoo
Kazi zake ziko tayari,sasa hivi anatengenezewa mazingara/being branded tayari kulivamia soko la muzik,inasadikika hii ni brain child ya Le mutuz na Swahili radio.Hawezi kudumu kwenye spot light kwa maana yani u star wake haujaletwa na kazi yake ya mziki.
Yani drama zake zimemfanya amekuwa na jina kubwa kuliko mziki wake na watu wengi wanamjua lakini hawajua hata wimbo wake.
Mtu ambaye ameweza mantain kwa drama ni wema sepetu sijui kama hamo ataweza maana siyo muda mrefu watu watachoka hizi drama unless zingekuwa zinaenda sambamba na kazi.
Hivi ni kweli mkuu au unatania...Kazi zake ziko tayari,sasa hivi anatengenezewa mazingara/being branded tayari kulivamia soko la muzik,inasadikika hii ni brain child ya Le mutuz na Swahili radio.
Usiwachanganye wahaya na takataka kama hizo... Jokes lknMhaya kwenye ubora wake
Uthigawe pathiihv kaimba wimbo gani