PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]hiyo picha ya juu kulia hiyoo
Amefikia wapi?kwani anafanya kazi gani? Kujifananisha na Harmo au?Dogo ndio ameshakuwa star mkuu,inabidi ajiongeze tu ili aweze kusonga mbele,iwapo ataridhika na hapo alipofikia soon tu itakula kwake
Halafu wanamwambia asibweteke,na kulewa ustar,mm kazi yake siielewi au drama za kufanana na harmo? Kweli mjini raha!!!Hawezi kudumu kwenye spot light kwa maana yani u star wake haujaletwa na kazi yake ya mziki.
Yani drama zake zimemfanya amekuwa na jina kubwa kuliko mziki wake na watu wengi wanamjua lakini hawajua hata wimbo wake.
Mtu ambaye ameweza mantain kwa drama ni wema sepetu sijui kama hamo ataweza maana siyo muda mrefu watu watachoka hizi drama unless zingekuwa zinaenda sambamba na kazi.
Hahahaha eti wako in the making of another super starHalafu wanamwambia asibweteke,na kulewa ustar,mm kazi yake siielewi au drama za kufanana na harmo? Kweli mjini raha!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Hiyo picha ya mwisho kama Diamond na Zari, mwaka huu wa Harmo Rapa hakuna wa kuzuia mvua
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahahaha eti wako in the making of another super star
KWELI KABISA.....................Dah bora mtu utafute kiki tu utoke maana wenzetu kiki zinawasaidia sana