Mungu anakuona wewe....hata mm niliiskia hii
et ni kweli
Me ndo nkasema nkuulize kama ni kweli ila sijakukandamiza jiraniSasa kwanini hukunitetea jirani na wakati tumechota wote maji utotoni bomba moja.
Aisee atujibu sasahata mm niliiskia hii
Jirani, ukiendelea kunisema pembeni nitahama niende mbaliMe ndo nkasema nkuulize kama ni kweli ila sijakukandamiza jirani
unajua nilikua nabisha hizi habari lkn bada ya kuona ww umeongea nimeamini kabisaAisee atujibu sasa
shikamoo Daby jamaan hiv ni kweliMungu anakuona wewe....
Usihame jirani nmeachaJirani, ukiendelea kunisema pembeni nitahama niende mbali
[emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unajua nilikua nabisha hizi habari lkn bada ya kuona ww umeongea nimeamini kabisa
Marahaba shunie.shikamoo Daby jamaan hiv ni kweli
Jamaa anasura nzito kweli!Duuh huyu jamaa ana sura chachu balaa...
Haujaacha jirani ona hapo chiniUsihame jirani nmeacha
Au namimi unataka nianze kutangaza kwako hamnunui chumvi na vitunguu mnaomba kwa mke wangu jirani?[emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahaaa[emoji15] [emoji15] basi jirani tusifike hukoHaujaacha jirani ona hapo chini
Au namimi unataka nianze kutangaza kwako hamnunui chumvi na vitunguu mnaomba kwa mke wangu jirani?
hahahhh nataka unijib wwMarahaba shunie.
Muulize dada yako espy.
Kiboko ya mabishoo huyoo...Huyu mtoto ni nani? Mbona ameudhika hivyo?