Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Chameleonair naye sura ilimsaidia kupata kiki.Sura ina kick.m
 
nyie mnamuona ana sura mbaya ila yy anajiona yupo fresh mbnaa
 
Nadhani lengo lako sio jema, mm najua ni uumbaji wa Mungu tu...mbona mm nikauzu zaidi ya huyu, yaani huyu naona kama mrembo....wewe ukiniona nadhani utani publish sana kwenye media....
 
Haujaacha jirani ona hapo chini

Au namimi unataka nianze kutangaza kwako hamnunui chumvi na vitunguu mnaomba kwa mke wangu jirani?
Ahaaa[emoji15] [emoji15] basi jirani tusifike huko
 
Huyu mtoto ni nani? Mbona ameudhika hivyo?
Kiboko ya mabishoo huyoo...
Harmorapa-1.jpg
 
Back
Top Bottom