Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Hivi na mzazi wa huyo dada naye anajiita ana mtoto?
 
Utajuaje upo bongo? Hakuna siri, ni ndoo na madiaba ya maji, yanayoashiria kwamba hatuna uhakika wa kupata maji kila siku hivyo kuhitaji ndoo kama 10 na madiaba 3 kwa ajili aya kuhifadhia maji. What an ugly sight!
 
Hapo sipo kwake,...Anashika shika tu chupa za mafuta jikoni huku anashaanga shangaa tu, kama vile ndio first time kuingia kwa nyumba hiyo
Hahahaha mkuu yaani nilikuwa najiuliza sasa kile kikopo alichokishika kilikuwa kina ulazima gani kushikwa
 
Back
Top Bottom