Huyo jamaa kwa mujibu wa interview zake yeye anafanya biashara soko la Mwenge,na anasema watu walikuwa wakimwambia anafanana na harmoniza,so wakaamua kumuita harmorappa,yeye akaitumia hiyo fursa kuamua kuanza kuimba kwa kurap.Anasema watu mtaani hukfananisha sana.na harmoniza na wengine hudhania ndo harmo.Leo nimeona video akihjiwa na Millard ayo akiwa na video kwin wake ambaye masabik wake wanamuita Wolpa.Ingawa wenyewe.wamekataa kuwa hawafanyi mapenz bali kaz tu.
Nimeuona wimbo wake leo wa USIGAWE PASI[emoji23][emoji16][emoji16]