Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Jamani mm ananicha hoiii!! Mbavu zanguuuuu!! Anapenda awe star faster wakati wenzie wamesoteaa!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Ngoja jamaa wa Clouds waanze kumtafuta na kumpangia nyumba pamoja na kumpa gari la kifahari. Baadaye utasikia jamaa karudishwa maiti toka south huku Kinje na kundi lake likishughulikia kuleta mwili wake hapa Dar.
 
Harmoropa!!!
Unakula vinono tu, Ama kweli Maanani hakosei Toto upaje wake unawatoa udenda vijana wa mjini-unakula vyombo tu kwa raha zako!!!!
Roho mbaya haijenge MAISHA yenyewe mafupi



-Ukiyanunia maisha nayo yanakununia,ukiyachekea nayo yanakuchekea-
 
Harmorapa ni staa kuliko harmonize ,aha aha
Watu wana shine bila single ya maana wala album
 
Sidhan kama ni maisha yake harisi hayo naona kama ana act movie hivi
 
Maisha halisi? Kaangalia hyo nyama utafikili ikipikwa hali[emoji23][emoji23]
 
Ilikuwaje kuaje mpaka wakamuita aje awapige wanavyonyweshana juice. Mara wanapika pamoja, tena kwa nguo tofauti tofauti,
which means that mpiga picha alikuwa na kazi hiyo tuu ya kuwapiga picha, ili iweje?
Global publisher hao,
 
Back
Top Bottom