Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimefurahi kumuona bwana Hamo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kipi bora kuimba ama kupiga marimba vyote utasikika tuKuna kitu kinafanyika kwa kumtumia huyu jamaa, ukiangalia kwa picha tu hafananii kabisa maisha hayo... Ona jeans aliyovaa
Almanusura mambo yawe mubasharaIna nn na wwe
kweli angalia picha zake insta, garibza kifahari na kuna nyingime kashika hela nyingi labda huyu ndiye punda mkubwa mtarajiwa[emoji23][emoji23] mahaba niue
wema amefabanya kazi gani?Hawezi kudumu kwenye spot light kwa maana yani u star wake haujaletwa na kazi yake ya mziki.
Yani drama zake zimemfanya amekuwa na jina kubwa kuliko mziki wake na watu wengi wanamjua lakini hawajua hata wimbo wake.
Mtu ambaye ameweza mantain kwa drama ni wema sepetu sijui kama hamo ataweza maana siyo muda mrefu watu watachoka hizi drama unless zingekuwa zinaenda sambamba na kazi.
[emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]WANAOSEMA WANAWAKE WANAVUTIWA NA WANAUME WAREFU... HAYA HARMORAPA NA MTOTO HUYOOOO MKALIII, JE, HARMORAPA MREFU??
OK... ENDELEENI KUREFUKA KIMO WAKATI WENYE PESA TUNAUJUA UKWELI!!
Baadaye aje aanze kuomba misaada mambo yakiwa magumu....Uyu jamaa wanamtengenezea mazingira magumu hapo mbeleni
Huyu dogo sasa kazidi, kila siku anakuja na kituko kipyaNi mda wake. Mwache afurahie wakati wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nywele au minyuzi