dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,037
- 3,134
Mkuu nakuona umetokea kumkubali hamo rapHAHAHAHAHA NOMA SANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nakuona umetokea kumkubali hamo rapHAHAHAHAHA NOMA SANA
Ebu tupia 'pini' lake moja tusikieAnavyo flow mistari. Alafu anademu mkali kuliko mumu
hahahaha Harmo Rappa anazidi kuwakimbizaMnnhh.. Utadhania kapigwa ganzi...
Mkuu upo mkoa gani? !Kuna kitu kinafanyika kwa kumtumia huyu jamaa, ukiangalia kwa picha tu hafananii kabisa maisha hayo... Ona jeans aliyovaa
Wa kariakoo mnampa kiki huyu kiumbeWale jamaa wa Madale na roho mbaya zao wanazidi ku-panic.
Safari ile walimwita Nyani safari hii sijui watampa jina gani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] ndukiiiHiyo picha ya mwisho kama Diamond na Zari, mwaka huu wa Harmo Rapa hakuna wa kuzuia mvua
Acha roho mbaya.Wa kariakoo mnampa kiki huyu kiumbe
Mkuu unaboa na hilo li avatar lako O.... Wewe ni mjukuu wake nn[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwao rapa leo wanakula nyama!![emoji39]