Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

hivi harmonize hawezi badili jina ili amuachie huyu jamaa? maana kufananishwa na watu wa ajabuajabu namna hii hatareee
 
Mwanamuziki wa kwl kwanza atakuonyesha Music wake ndani,lkn kwa harmorapa mapenzi sijaona hata tv,bali nimeona mafuta ya korie wala siyo alizeti!![emoji108]
 
Kuna kitu kinafanyika kwa kumtumia huyu jamaa, ukiangalia kwa picha tu hafananii kabisa maisha hayo... Ona jeans aliyovaa
Mkuu upo mkoa gani? !

Huku Dar Es Salaam hizo jeans ndio habari ya mujini.
 
Wale jamaa wa Madale na roho mbaya zao wanazidi ku-panic.

Safari ile walimwita Nyani safari hii sijui watampa jina gani
 
Huyu jamaa watu watamponza.
Si muda mrefu MAKONDA atamrukia...
 
Back
Top Bottom