MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Baba yangu mzazi mkuu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu unaboa na hilo li avatar lako O.... Wewe ni mjukuu wake nn[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba yangu mzazi mkuu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu unaboa na hilo li avatar lako O.... Wewe ni mjukuu wake nn[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huu sasa uchokozi[emoji3] [emoji3] [emoji3]Huyu sasa ndio mshindani wa kibakuli,hatimaye kibakuli amepata wa level yake!
Jamani mm ananicha hoiii!! Mbavu zanguuuuu!! Anapenda awe star faster wakati wenzie wamesoteaa!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Penzi laweza chipuka popote.na huyo dada anavyomkumbatia sasa hapo jikoni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yataka moyo!
Nadhani hapo kila mtu anataka kutoka.sasa shemu mbona umetuachia paja lote leupe nje tena jamani shemu
Huyo wa kusini(mtwala),nilimsikia kwenye shilawadu,aliulizwa kwao wapiMhaya kwenye ubora wake
Kumbe wa ntwara yawezekana baba yake na Harmonize alipita na wenguHuyo wa kusini(mtwala),nilimsikia kwenye shilawadu,aliulizwa kwao wapi
Global publisher hao,Ilikuwaje kuaje mpaka wakamuita aje awapige wanavyonyweshana juice. Mara wanapika pamoja, tena kwa nguo tofauti tofauti,
which means that mpiga picha alikuwa na kazi hiyo tuu ya kuwapiga picha, ili iweje?
Ooh, sawaGlobal publisher hao,
Wapo wengi mbona...Nash mc, FerouzMyao no 1 kua msanii