Harrier Lexus ndiyo gari inayotrend kwa sasa Tanzania

Mkuu tuko pamoja siku nikimiliki hili nafsi yangu itakua nyeupeeeeeeee!hata hivyo nashukuru mungu kwa hiki kitoi nilichonacho.
Yaani nikikaa ndani nitakuwa comfortable kabisa..... na njaa ya pesa ndio itaongezeka mkuu.... hizi gari nazielewa sana
 
Reactions: SDG
Jamaa yangu ana brevis 330 kutwa jua kali kafungua vioo anafuta jasho kwa kitambaa tu yaani anajutia wese,so ni bora ukawa na vits lakini ukatembelea mwaka mzima kuliko kuwa na range ukatembelea wiki tu kwa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imo kwenye bajeti na noah zetu au??
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…