Harrier Lexus ndiyo gari inayotrend kwa sasa Tanzania

Harrier Lexus ndiyo gari inayotrend kwa sasa Tanzania

Kwanza ina CC1986 engine yake, ikiwa highway speed 100 inatembea km14 kwa lita,city inatembea km 10 mpaka 12 kwa lita
Mbona engine capacity ni kawaida sana? Hii ni gari ya kawaida sana. Max speed 180! Ukitaka kuenjoy driving na hasa long safari tumia magari ya Ulaya sio Japan. Magari ya BMW, Benz, Land Rover/Range Rover, Audi nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tulikuwa tunaongelea swala la fuel consumption, na isitoshe hiyo gari sio ya speed 180 ni above ya hiyo
 
Jambazi
Toyota/Lexus lazima wakulipe maana
Umewafanyia masoko ya hali ya juu.
Sasa wale vijana wanao soma kwa
Mwalimu (Ontario)ujarisimali haya magari ni yakawaida tu.
 
Hivi unaweza kusema harrier lexus, ama ts either harrier au lexus?
 
Si kweli mkuu hizo si ni zile zinazotumia umeme zaidi ukiwa speed ndogo?
Yeah kwenye mafoleni kama haya yetu dar ni raha tu. Ina stop engine unatumia battery so wese haliliki. Speed kuanzia 80km/h engine ndio inapokea battery inaendelea kujichaji unaanza kutumia wese tena.
 
Imetulia sana ila kuna watu wanadanganya eti kwenye mafoleni yetu inakula sana were bila kufanya utafiti
 
Attachments

  • lexus_rx_4.jpg
    lexus_rx_4.jpg
    38.7 KB · Views: 106
Back
Top Bottom