Harrier Lexus ndiyo gari inayotrend kwa sasa Tanzania

Harrier Lexus ndiyo gari inayotrend kwa sasa Tanzania

Nafurahia kutembelea harriar ya kawaida lakini nimeshindwa namna ya kutumia ile scrin Yake pale juu kupata video wajuzi wanaweza kunisaidia.
 
Kwa trip za mjini lazma upigwe mafuta... Gari ya masafa hiyo, safari ndefu haili mafuta...

hahahaha..sasa Mkuu unataka inywe mchemsho? Sioni sababu mtu uwe na uwezo wa kununua gari kama hiyo halafu uanze kulia na mafuta. Inabidi ujitafakari kama kweli wewe ni mtu sahihi wa kuwa na aina hiyo ya usafiri.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwanza ina CC1986 engine yake, ikiwa highway speed 100 inatembea km14 kwa lita,city inatembea km 10 mpaka 12 kwa lita
ipi iyo mkuu hzi za Toyota Harrier 240G, ama
Toyota%20Harrier%20240G%E2%80%9CPremium%20L%20Package%E2%80%9D%20-%20Copy.jpg
 
Haaa! Mbona kama yangu.....we jamaa umeitoa wap?
 
Kama unaweza nunua Toyota Harrier(japanese market)/Lexus rx300/350(Euro,US market) HYBRID. Hii Hybrid ina electric motor kwahio inatumia umeme na mafut.
Ikiwa unaenda 0-60kph(not so sure) inatumia electric motor kwahio hutumii mafuta kwenye foleni.
Mwendo ukikolea over 60kph inaanza kutumia mafuta,lakini ukiwa speed ya juu matumizi ya mafuta ni kidogo sana, so overall utumiaji wake wa mafuta ni mdogo sana.
 
Back
Top Bottom