Harrier Lexus ndiyo gari inayotrend kwa sasa Tanzania

Nafurahia kutembelea harriar ya kawaida lakini nimeshindwa namna ya kutumia ile scrin Yake pale juu kupata video wajuzi wanaweza kunisaidia.
 
Si kweli mkuu hizo si ni zile zinazotumia umeme zaidi ukiwa speed ndogo?
Kwa trip za mjini lazma upigwe mafuta... Gari ya masafa hiyo, safari ndefu haili mafuta...
 
Kwa trip za mjini lazma upigwe mafuta... Gari ya masafa hiyo, safari ndefu haili mafuta...

hahahaha..sasa Mkuu unataka inywe mchemsho? Sioni sababu mtu uwe na uwezo wa kununua gari kama hiyo halafu uanze kulia na mafuta. Inabidi ujitafakari kama kweli wewe ni mtu sahihi wa kuwa na aina hiyo ya usafiri.
 
Reactions: SDG
Haaa! Mbona kama yangu.....we jamaa umeitoa wap?
 
Kama unaweza nunua Toyota Harrier(japanese market)/Lexus rx300/350(Euro,US market) HYBRID. Hii Hybrid ina electric motor kwahio inatumia umeme na mafut.
Ikiwa unaenda 0-60kph(not so sure) inatumia electric motor kwahio hutumii mafuta kwenye foleni.
Mwendo ukikolea over 60kph inaanza kutumia mafuta,lakini ukiwa speed ya juu matumizi ya mafuta ni kidogo sana, so overall utumiaji wake wa mafuta ni mdogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…