Harris Kapiga na utangazaji wake wa habari

Sugu aliwahi kusema hiyo station imejaa Makonda-kta"
 
Ahh mzee! Kapiga alipokorofishana na Mama Lwakatare alianzisha kanisa lake pale Sinza kamanyola linaitwa Nchi ya Ahadi.

Kila siku kwenye kipindi analipigia promo hujamsikia?
Nmesikia sanah hata mm
 
Kali kupita yote ni kile kipindi cha mchana sijui wanakiita XXL.

Yani ni kelele tupu. Hujui hata mantiki ya vitu vinavyoongelewa.

Ujinga mtupu.
Mkuu hapa hata mimi sikielewagi. Ila nadhani kuna wanao elewa vizuri Ndio maana bado kipo.
 
Ahh mzee! Kapiga alipokorofishana na Mama Lwakatare alianzisha kanisa lake pale Sinza kamanyola linaitwa Nchi ya Ahadi.

Kila siku kwenye kipindi analipigia promo hujamsikia?
Nitamsikia wap sasa
 
Inshort aipendi jaamaa anavyotangaza ..anaigiza sauti
. Sijawahi.muona akiwa katika uhalisia .
 
Ningependa kabla ya kuponda umsifie kwanza, hata kwa zuri moja tu alilofanya kabla ya ilo baya ulio liona. Chuki binafsi
soma vizuri alafu uniambie chuki binafsi iko wapi hapo......si ameshasifiwa anatabasamu sanaa au ndo kanyela mumo
 
Nilijua ni mimi tu ananiboa.. thanks mleta uzi nimekuelewa sana kumbe binadam tunafanana mawazo
 

Sasa utachoka akianza kumsifia yule bwana wa Chato....dah
 
Mtoa mada ulichoficha kuhusu BIBI, mmm sorry BWANA YULE tunakijua. Kaa hivo hivo.
 
mkuu kuna picha zimesambaa sana instagramu eti makonder analishwa keki na mOo na kuna nyingne anaongea na Moo Amekaa pozi matata kama dada zetu
 
Harris umotivation speaker na MC ndio kinachomfaa na aendelee nao by profession asijaribu vile anavyoona BBC, CNN au any international broadcasting. Binafsi I hate it.

I second you mkuu
 
Kuna siku alisema ni siku yake yakuzaliwa kwaiyo watazamaji wote tumtakie kher yakuzaliwa na tumuimbie kidogo.kisha akaweka pozi kupisha eti tumuimbie mweh.

umeniwahi mkuu binafsi nilishangaa sana na tangu siku hiyo Clouds habari sina mpango nayo
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…