Harris Kapiga na utangazaji wake wa habari

Harris Kapiga na utangazaji wake wa habari

Sugu aliwahi kusema hiyo station imejaa Makonda-kta"
 
Ahh mzee! Kapiga alipokorofishana na Mama Lwakatare alianzisha kanisa lake pale Sinza kamanyola linaitwa Nchi ya Ahadi.

Kila siku kwenye kipindi analipigia promo hujamsikia?
Nmesikia sanah hata mm
 
Kali kupita yote ni kile kipindi cha mchana sijui wanakiita XXL.

Yani ni kelele tupu. Hujui hata mantiki ya vitu vinavyoongelewa.

Ujinga mtupu.
Mkuu hapa hata mimi sikielewagi. Ila nadhani kuna wanao elewa vizuri Ndio maana bado kipo.
 
Ahh mzee! Kapiga alipokorofishana na Mama Lwakatare alianzisha kanisa lake pale Sinza kamanyola linaitwa Nchi ya Ahadi.

Kila siku kwenye kipindi analipigia promo hujamsikia?
Nitamsikia wap sasa
 
Inshort aipendi jaamaa anavyotangaza ..anaigiza sauti
. Sijawahi.muona akiwa katika uhalisia .
 
Ningependa kabla ya kuponda umsifie kwanza, hata kwa zuri moja tu alilofanya kabla ya ilo baya ulio liona. Chuki binafsi
soma vizuri alafu uniambie chuki binafsi iko wapi hapo......si ameshasifiwa anatabasamu sanaa au ndo kanyela mumo
 
Nilijua ni mimi tu ananiboa.. thanks mleta uzi nimekuelewa sana kumbe binadam tunafanana mawazo
 
Kiukweli uwa nashindwa kuelewa kwenye utangazaji habari huwa wanaelekezwa wapresent hivi au lah!!kidogo sina ujuzi huko ndugu zangu mtanisaidia.

Mara nyingi uwa akipresent habari anapenda kutoa maoni yake mwishoni.......mfano:habari ilikua ikizungumzia kuhusu wateja wa bodaboda kutopenda kuvaa helmet.....alafu mmoja wa madereva bodaboda akaulizwa kwanini huwa wateja hawavai??jibu lake likawa wateja hawapendi kwasababu wanahofia watapata maradhi kutokana na helmet kuvaliwa na watu tofautitofauti......kama kawaida harris akatoa conclusion yake kuwa kila mteja anunue helmet yake awe anatembea nayona aivae akipanda bodaboda[emoji47]
.
Eeewh!!!nikabaki nashangaa hivi inatakiwa kwelii hii!!!??na uongozi wa clouds haulioni??au kila mtu ni lazima aweke mikogo yake akihisi ananogesha kumbe analeta ucomedy

kiukweli akileta conclusion zake hizi uwa nakosa hamu ya kucheki tena habari za clouds tv......Ebu tupeane ABC kwenye uhabalishaji ndo inatakiwa hivi kweli??

Sasa utachoka akianza kumsifia yule bwana wa Chato....dah
 
Mtoa mada ulichoficha kuhusu BIBI, mmm sorry BWANA YULE tunakijua. Kaa hivo hivo.
 
Hivi ile Kampeni ya Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndugu Paul Makonda ya kupambana na kuwaondoa " mashoga " wote jijini inaanza lini? Mkuu mbona umesahau pia kusema kuwa huwa anapenda sana kushika peni na kuizungusha zungusha kule kunene kunene, akiipitisha katika vidole vyake huku akirembua macho yake na akitabasamu kwa bashasha kabisa?
mkuu kuna picha zimesambaa sana instagramu eti makonder analishwa keki na mOo na kuna nyingne anaongea na Moo Amekaa pozi matata kama dada zetu
 
Harris umotivation speaker na MC ndio kinachomfaa na aendelee nao by profession asijaribu vile anavyoona BBC, CNN au any international broadcasting. Binafsi I hate it.

I second you mkuu
 
Kuna siku alisema ni siku yake yakuzaliwa kwaiyo watazamaji wote tumtakie kher yakuzaliwa na tumuimbie kidogo.kisha akaweka pozi kupisha eti tumuimbie mweh.

umeniwahi mkuu binafsi nilishangaa sana na tangu siku hiyo Clouds habari sina mpango nayo
 
Kiukweli uwa nashindwa kuelewa kwenye utangazaji habari huwa wanaelekezwa wapresent hivi au lah!!kidogo sina ujuzi huko ndugu zangu mtanisaidia.

Mara nyingi uwa akipresent habari anapenda kutoa maoni yake mwishoni.......mfano:habari ilikua ikizungumzia kuhusu wateja wa bodaboda kutopenda kuvaa helmet.....alafu mmoja wa madereva bodaboda akaulizwa kwanini huwa wateja hawavai??jibu lake likawa wateja hawapendi kwasababu wanahofia watapata maradhi kutokana na helmet kuvaliwa na watu tofautitofauti......kama kawaida harris akatoa conclusion yake kuwa kila mteja anunue helmet yake awe anatembea nayona aivae akipanda bodaboda[emoji47]
.
Eeewh!!!nikabaki nashangaa hivi inatakiwa kwelii hii!!!??na uongozi wa clouds haulioni??au kila mtu ni lazima aweke mikogo yake akihisi ananogesha kumbe analeta ucomedy

kiukweli akileta conclusion zake hizi uwa nakosa hamu ya kucheki tena habari za clouds tv......Ebu tupeane ABC kwenye uhabalishaji ndo inatakiwa hivi kweli??
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom