Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmesikia sanah hata mmAhh mzee! Kapiga alipokorofishana na Mama Lwakatare alianzisha kanisa lake pale Sinza kamanyola linaitwa Nchi ya Ahadi.
Kila siku kwenye kipindi analipigia promo hujamsikia?
Yule jamaa au angefanya cafe angekuwa poa sanaKaparatu amekaa kama mlinzi
Mkuu hapa hata mimi sikielewagi. Ila nadhani kuna wanao elewa vizuri Ndio maana bado kipo.Kali kupita yote ni kile kipindi cha mchana sijui wanakiita XXL.
Yani ni kelele tupu. Hujui hata mantiki ya vitu vinavyoongelewa.
Ujinga mtupu.
Nitamsikia wap sasaAhh mzee! Kapiga alipokorofishana na Mama Lwakatare alianzisha kanisa lake pale Sinza kamanyola linaitwa Nchi ya Ahadi.
Kila siku kwenye kipindi analipigia promo hujamsikia?
Una ushahidi na hili mkuu?Mjukuu wa David Cameroon..
Kiukweli uwa nashindwa kuelewa kwenye utangazaji habari huwa wanaelekezwa wapresent hivi au lah!!kidogo sina ujuzi huko ndugu zangu mtanisaidia.
Mara nyingi uwa akipresent habari anapenda kutoa maoni yake mwishoni.......mfano:habari ilikua ikizungumzia kuhusu wateja wa bodaboda kutopenda kuvaa helmet.....alafu mmoja wa madereva bodaboda akaulizwa kwanini huwa wateja hawavai??jibu lake likawa wateja hawapendi kwasababu wanahofia watapata maradhi kutokana na helmet kuvaliwa na watu tofautitofauti......kama kawaida harris akatoa conclusion yake kuwa kila mteja anunue helmet yake awe anatembea nayona aivae akipanda bodaboda[emoji47]
.
Eeewh!!!nikabaki nashangaa hivi inatakiwa kwelii hii!!!??na uongozi wa clouds haulioni??au kila mtu ni lazima aweke mikogo yake akihisi ananogesha kumbe analeta ucomedy
kiukweli akileta conclusion zake hizi uwa nakosa hamu ya kucheki tena habari za clouds tv......Ebu tupeane ABC kwenye uhabalishaji ndo inatakiwa hivi kweli??
mkuu kuna picha zimesambaa sana instagramu eti makonder analishwa keki na mOo na kuna nyingne anaongea na Moo Amekaa pozi matata kama dada zetuHivi ile Kampeni ya Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndugu Paul Makonda ya kupambana na kuwaondoa " mashoga " wote jijini inaanza lini? Mkuu mbona umesahau pia kusema kuwa huwa anapenda sana kushika peni na kuizungusha zungusha kule kunene kunene, akiipitisha katika vidole vyake huku akirembua macho yake na akitabasamu kwa bashasha kabisa?
Harris umotivation speaker na MC ndio kinachomfaa na aendelee nao by profession asijaribu vile anavyoona BBC, CNN au any international broadcasting. Binafsi I hate it.
Kuna siku alisema ni siku yake yakuzaliwa kwaiyo watazamaji wote tumtakie kher yakuzaliwa na tumuimbie kidogo.kisha akaweka pozi kupisha eti tumuimbie mweh.
Inshort aipendi jaamaa anavyotangaza ..anaigiza sauti
. Sijawahi.muona akiwa katika uhalisia .
mkuu kuna picha zimesambaa sana instagramu eti makonder analishwa keki na mOo na kuna nyingne anaongea na Moo Amekaa pozi matata kama dada zetu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kiukweli uwa nashindwa kuelewa kwenye utangazaji habari huwa wanaelekezwa wapresent hivi au lah!!kidogo sina ujuzi huko ndugu zangu mtanisaidia.