Rozanna Agro Africa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 809
- 793
Wenzetu akina nani?Ni kweli lakini bado haiondoi ukweli kuwa, wakati wenzetu wakiyatafutia matatizo yao suluhisho.sisi huwa tupo bize kumuachia Mungu. Nimeisikiliza hiyo clip na kwa nilivyosoma ramani, there is still something wrong na kifesi mwenyewe
Internet iwe ya chini mnoooooMtandao wa tigo au?
Alaf hao wote n mapunga cjuiHii clip yao nimetumiwa sasa hivi whatsup,yaani daah we Mungu watizame wadogo zetu wa kiume.Sijui jamaa ilikuwaje kuwaje mpaka kuanza hiyo michezo.
Waswahili wanajuana kwa vilemba[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Eti alitaka kumng'ata mkuyenge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] genye mbaya Sana.
Please Nipm mkuuHii clip yao nimetumiwa sasa hivi whatsup,yaani daah we Mungu watizame wadogo zetu wa kiume.Sijui jamaa ilikuwaje kuwaje mpaka kuanza hiyo michezo.
Connectiwa Na PierreTusio na connection tunafanyaje sasa!!!
Jamani Sasa na wewe kifesi, why would you go to media and brag about another man tying to force you to **** him ? That's so juvenile, na wewe Harris kapiga, shame on you , kwan mabasha huwaon mjini hadi ukatake kumbaka mtoto wa watu, hvi wanazengo kesi kama hizi zipo au ? Sasa hapa kwa mfano Harris akishtakiwa kwa kutaka kumbaka kifesi hivi atafungwa au?
Nimesikiliza audio nimecheka, kifesi anaogopa kubakwa, Ila na wewe umezid kuwa handsome na Siku hizi umejazia mwenyewe, any woman or a gay guy would want a piece of you , pole Ndo ukubwa, Ila you don't do that bhana, that's so childish
Sasa mtu unamlazimisha mtu akubake jaman harris, si huende kwa gwajima mtumishi mwenzio atakusaidiaš¤£
Pole kifesi bwana Ndo ustaa na ukubwa
Ukitaka zima data mwezi mzimaHii ramadhani ya mwaka huu inabidi mtandao uzimwe vinginevyo tutakuwa tunafuturu mchana
Nchi zilizoendeleaWenzetu akina nani?
Kuhusu kapiga hilo linafahamika ..... hebu nitumie hiyo Audio pleaseHana hayo mambo , asingemsema lol , Ila ngoja na yeye aje tumsikie, hawa kuna kitu wanaficha ila kapiga Ndo mchezo wake huu.
Mkuu ...nitumie pm au ipost hapaHii clip yao nimetumiwa sasa hivi whatsup,yaani daah we Mungu watizame wadogo zetu wa kiume.Sijui jamaa ilikuwaje kuwaje mpaka kuanza hiyo michezo.
Mmh jitu lina karibia mwaka wa 10 now tangu watu walishtukie kuwa ni pungaWrite your reply...Mi nilijuaga Harris wanamsingizia hiyo tabia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anasukumiwaaa mitiii aiseeeMmh jitu lina karibia mwaka wa 10 now tangu watu walishtukie kuwa ni punga