Uchaguzi 2020 Harrison Mwakyembe hali tete Kyela, wagombea zaidi ya 30 wa CCM wachukua fomu kumpinga

Wakuu natanguliza salamu hasa baada ya mchakato wa uchaguzi unaoendelea nchini kushika kasi .

Taarifa kutoka Kyela zinathibitisha kwamba kwa mara ya kwanza Ndugu Mwakyembe maji yamemfika shingoni asijue la kufanya baada ya Wanaccm akiwemo anayeitwa KINANASI kuchoka na uongozi wake duni na hivyo kuamua kupambana naye kwenye kura za awali ,Vijana wengi wa ccm wanazungumza kwa lugha ya kinyakyusa huku wakijiapiza kwamba " ALILEPO KAKO " kwa kiswahili tafsiri yake ni kwamba AMEKULA VYA KUTOSHA .

Ikumbukwe kwamba Mwenyekiti wa ccm amekwisha tamka hadharani kwamba hajamtuma mtu yeyote kugombea ubunge na kwamba kila mtu apambane na roho yake , bali inafahamika kwamba bila mbeleko Mwakyembe ataishia kwenye kura za maoni .

Tutaendelea kuwaletea habari za uchaguzi za jimbo la Kyela kila zinapojiri .
Aondolewe hana la maana hata moja
 
Huyu lazima mwenyekiti ampitishe tu, akimkata jina lake anaenda ACT. Ikumbukwe kwamba Ni mmoja wa waanzilishi wa ACT.
 
Mwakyembe hugawa Rushwa kwa wajumbe kininja usiku na mchana ni vigumu Takukuru wamdake anatumia tigo pesa m-pesa kwa namba ambayo siyo yake.
Huyu hawezi kukatwa. Akikatwa tu anajiunga na Bernad Membe kule ACT
 
Back
Top Bottom