Uchaguzi 2020 Harrison Mwakyembe hali tete Kyela, wagombea zaidi ya 30 wa CCM wachukua fomu kumpinga

Aondolewe hana la maana hata moja
 
Huyu lazima mwenyekiti ampitishe tu, akimkata jina lake anaenda ACT. Ikumbukwe kwamba Ni mmoja wa waanzilishi wa ACT.
 
Mwakyembe hugawa Rushwa kwa wajumbe kininja usiku na mchana ni vigumu Takukuru wamdake anatumia tigo pesa m-pesa kwa namba ambayo siyo yake.
Huyu hawezi kukatwa. Akikatwa tu anajiunga na Bernad Membe kule ACT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…