Uchaguzi 2020 Harrison Mwakyembe hali tete Kyela, wagombea zaidi ya 30 wa CCM wachukua fomu kumpinga

Hata kufundisha hawezi tena...
Hajathibitisha ufisadi wa EL mpaka leo...
Aliisaliti Tanganyika...
Akaisaliti Katiba ya Wananchi...
Akajitenga na weledi ili aimbe mapambio...
Labda kama anakwenda fundisha majungu na kudanganya hapo sawa


Kama mbowe alivyoshindwa kudhibitisha kutekwa kwake mpaka leo.
 

Wakuu wa CHadema mnafell Hapo tu.
Hamna Identity. Ni fuata mkumbo. Leo Nyie ndo waandika habari za hao ccm. Nawashangaa sana. My interest siku Zote sio vyama. Lakini JPM. Nachukia sana tabia za watu wavivu wavivu wanaofikiria maneno tu mwaka Mzima bila kazi. Tabia za Watu kama wewe na wengine. Hopeless. Hamna positives. Ndo mana watu makini lazima wawadharau. Mtu makini anakuwa Ana positive mind. Anaona mazuri na mapungufu. Mwangalie Mwenyekiti wenu pamoja na udikteta Wake Lakini Ni muumgwana sana. Anajua kupongeza na anajua kupinga Nk. Watu emotional kama nyie hamuwezi pta nchi. Itakuwa Vita.
 
Very Poor !
 
20 Julai 2020
Kyela, Mbeya

Mwakyembe - "Nimekuja Kyela nikiwa nimesha shiba msinibabaishe".

Maneno hayo yalimtoka waziri Harrison Mwakyembe alipoulizwa swali na mjumbe katika mkutano mkuu wa wilaya ktk zoezi la kuomba ridhaa apewe kura nyingi za maoni kuelekea Oktoba 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…