Tetesi: Harry na Meghan kuja Serengeti kwa ajili ya honeymoon

Ni Jambo jema. Nimekaa Nje Tanzania Na watanzania tunakubalika Sana....let them come Na serikali iwape offer waingie bure kwa lengo la kutangaza utalii wetu.....
 
Sema Prince Harry na mkewe ina-make sense zaidi. The way ulivyoiweka ni as if ni watu fulani ambao inawezekana hata kufahamiana hawafahamiani.
 
NDIVYO INAVYOTAKIWA KUFAHAMIKA KWA WATU NA RESERVATIONS ZAO ZITAKUWA KWA MAJINA HAYO KUKUZA UTALII. UKISEMA "MKE" WAKO WAKE WENGI DUNIA HII
 
Hiyo ni tetesi au ni uhakika hao wana wa Mfalme wa Uingereza wanakuja Tanzania??

Nimesikia kupitia kwenye vyombo mbalimbali vya ndani na nje jinsi nchi za wenzetu zinavyopigana vikumbo katika kutoa "ofa" kwa watoto hao wa kifalme waende wakale Honeymoon bure nchini kwao!

Miongoni mwa hizo nchi nchi zipo za Botswana, Lesotho na Kenya

Hivi hao wana wa kifalme watawweza kuja hivi hivi tu hapa Bongo, si lazima kwanza tujibidiishe?
 
Sema Prince Harry na mkewe ina-make sense zaidi. The way ulivyoiweka ni as if ni watu fulani ambao inawezekana hata kufahamiana hawafahamiani.
ONA wao wenyewe UK wanavyowatambulisha kwa jamii...
JIFUNZE HAPA.JPG
 
Hawa jamaa hawana muda wa kuja kupoteza na mambuga yenu huko bongo.Labda kama mnataka kuutangaza utalii wenu mwalikeni ama mpeni Mzee Kagame Kimbuga kimoja especially kile cha akina mkoa wa ZZK a.k.a Gombe Reserve
 
Ila wasitupe tu kondomu hovyo kwenye Mbuga zetu baada ya kutumia watupe pipa la taka!

Kondomu za nini tena wakati wameshahalalisha?!
Sasa hivi wana kazi moja tu, ya kutafuta mtoto.
 
Moja ya advantage kubwa ya kuwa member wa JF .

Habari za mwanzo kabisa kutoka Windsor zinasema baada ya Prince Harry na Meghan kuangalia ni nchi gani watakaa fungate yao barani Afrika,hatimaye kwa kauli moja wamekubaliana kukaa Serengeti .

Serengeti imeibwaga mbuga kadhaa za kenya na Botswana .
kwa hiyo ni juhudi za serikali ya malaika mkuu aka jiwe, mnaokoteza mafanikio kwa taabu sana miaka 3 imeyoyoma, Hanna kitu.
 
Ndugu zetu huwa hawakawii utasikia serengeti ipo kenya
 
Hawa jamaa hawana muda wa kuja kupoteza na mambuga yenu huko bongo.Labda kama mnataka kuutangaza utalii wenu mwalikeni ama mpeni Mzee Kagame Kimbuga kimoja especially kile cha akina mkoa wa ZZK a.k.a Gombe Reserve
Degine rohombaya ? Roho mbaya ni ile hali ya kutokupenda jambo fulan ambalo ni zuri lakin sababu wewe hulipendi unaona ni baya.

Vua hiyo roho
 
Back
Top Bottom