heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Saa sita mchana ndo mida yetuuu ya kuja duniani, ulikutana na jinni anatwaza anajiandaa kwenda msikitini so hakuwa na time na wewe japo alikuona 6 mpk tisa sio mida mizuri kuwa karibu na maeneo iddle, chooni, misituni,baharini,makaburini utakumbwa na upepo mbaya