Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Habari za jumapili watu wangu nguvu..natumaini mlioenda nyumba za Ibada leo mmetuombea🙏
Jamani sijui ni hii pua yangu inafanya makusudi kuhifadhi hii harufu. ..🤔🤔
Mpenzi msomaji siku kadhaa zilizopita nilikuwa kwenye party fulani hivi ya watu tunaofahamiana nao😊mida ya kuondoka bhana mkaka mmoja hivi (ninafahamiana nae)akaniambia Chakorii huwezi kuondoka kabla sijakuhug ohooo😍😍😍si akanihug bhna 🙆♀️🙆♀️🙆♀️Harufu aliyoniachia ilinikosesha usingizi jamani😌mwamba alikuwa ananukia vizuri mamaaaa(aliustua mtima wangu wallahi).
Nikajidai mjeuri kuipotezea harufu yake😌😌juzi tena bwana kumbe anasafiri(karoho kakaniuma kwa mbali kusikia anasafiri)akanihug tena mara Ohoo take good care of your self Chakorii please 😢😢akaniachia tena harufu ya perfume yake (nyie huyu mjinga ataniuwa kwa hii harufu mjue🤣🤣)
Wapenzi wasomaji tangu juzi mpka sasa perfume bado inazunguka puani hakyamama tena siwafichi🧐
Taarifa ya kuhuzunisha ni kwamba siijui jina na mwamba hayupo tena😩😩😩
Bwana asimame vinginevyo hii harufu ya perfume itaenda kuishi katikati ya moyo wangu wallahi nawaambia ☹️