Habari za jumapili watu wangu nguvu..natumaini mlioenda nyumba za Ibada leo mmetuombea[emoji120]
Jamani sijui ni hii pua yangu inafanya makusudi kuhifadhi hii harufu. ..[emoji848][emoji848]
Mpenzi msomaji siku kadhaa zilizopita nilikuwa kwenye party fulani hivi ya watu tunaofahamiana nao[emoji4]mida ya kuondoka bhana mkaka mmoja hivi (ninafahamiana nae)akaniambia
Chakorii huwezi kuondoka kabla sijakuhug ohooo[emoji7][emoji7][emoji7]si akanihug bhna [emoji2296][emoji2296][emoji2296]Harufu aliyoniachia ilinikosesha usingizi jamani[emoji18]mwamba alikuwa ananukia vizuri mamaaaa(aliustua mtima wangu wallahi).
Nikajidai mjeuri kuipotezea harufu yake[emoji18][emoji18]juzi tena bwana kumbe anasafiri(karoho kakaniuma kwa mbali kusikia anasafiri)akanihug tena mara Ohoo take good care of your self
Chakorii please [emoji22][emoji22]akaniachia tena harufu ya perfume yake (nyie huyu mjinga ataniuwa kwa hii harufu mjue[emoji1787][emoji1787])
Wapenzi wasomaji tangu juzi mpka sasa perfume bado inazunguka puani hakyamama tena siwafichi[emoji3166]
Taarifa ya kuhuzunisha ni kwamba siijui jina na mwamba hayupo tena[emoji30][emoji30][emoji30]
Bwana asimame vinginevyo hii harufu ya perfume itaenda kuishi katikati ya moyo wangu wallahi nawaambia [emoji3525]