Harufu ya perfume yake haitoki puani mwangu

🤣🤣🤣si ndo hapo Hata mimi nashangaa jamani
It happens to everyone dear, ila kuna wanaume huwa wananukia halafu wapo romantic hadi unachanganyikiwa🙌, mbaya zaidi wala hawatongozagi yaani, unajikuta tu unampenda afu unagugumia mwenyewe
 
Ndugu yangu unamjua mbona kama sielewi sielewi (in Joti’s voice)

Halafu mkimyaa🥺🥺Ohoo
 
Honestly natamani kuifahamu hiyo perfume aiseh 😢
Pole Chakorii, ingekua ni rahisi kuelezea harufu, basi ungeielezea hiyo harufu hapa halafu watu wangekuambia jina la oerfume, ila sasa its hard, sijui hata tunakusaidiaje, the only way ni kumuuliza huyo muhusika
 
Too sad hata harufu siwezi kuiezea.
 
Back
Top Bottom