Harufu ya perfume yake haitoki puani mwangu

Harufu ya perfume yake haitoki puani mwangu

9DB5F93D-9FA3-4CAA-8178-D7EC72D232FA.jpeg
 
Habari za jumapili watu wangu nguvu..natumaini mlioenda nyumba za Ibada leo mmetuombea🙏

Jamani sijui ni hii pua yangu inafanya makusudi kuhifadhi hii harufu. ..🤔🤔

Mpenzi msomaji siku kadhaa zilizopita nilikuwa kwenye party fulani hivi ya watu tunaofahamiana nao😊mida ya kuondoka bhana mkaka mmoja hivi (ninafahamiana nae)akaniambia Chakorii huwezi kuondoka kabla sijakuhug ohooo😍😍😍si akanihug bhna 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️Harufu aliyoniachia ilinikosesha usingizi jamani😌mwamba alikuwa ananukia vizuri mamaaaa(aliustua mtima wangu wallahi).

Nikajidai mjeuri kuipotezea harufu yake😌😌juzi tena bwana kumbe anasafiri(karoho kakaniuma kwa mbali kusikia anasafiri)akanihug tena mara Ohoo take good care of your self Chakorii please 😢😢akaniachia tena harufu ya perfume yake (nyie huyu mjinga ataniuwa kwa hii harufu mjue🤣🤣)

Wapenzi wasomaji tangu juzi mpka sasa perfume bado inazunguka puani hakyamama tena siwafichi🧐

Taarifa ya kuhuzunisha ni kwamba siijui jina na mwamba hayupo tena😩😩😩

Bwana asimame vinginevyo hii harufu ya perfume itaenda kuishi katikati ya moyo wangu wallahi nawaambia ☹️
Pole mwaya, akirudi hakikisha unajua jina lake na unapata namba yake, ya nini kufa na tai shingoni
 
Back
Top Bottom