Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Umeelewa unieleweshe?Makubwa
Asante
Acha tuwaachie wengine
Nimejaribu kuelewa hata kinguvu nimeshindwa[emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa unieleweshe?Makubwa
Asante
Acha tuwaachie wengine
Eleza umepigwaje[emoji28]Wakuu ilinitokea mimi. Nimepigwa hela dah hata siamini. Wale jamaa matapeli.
Wewe ni genious sana…. This marketing strategy is awesome……….Kuna mchezo wa watu wanajiita Jumia, wao wanasema wanafanyankazi ya matangazo online. Wanakupa task ya kuweka like kwemye video za youtube then wanakulipa buku (1k). Unatakiwa kufanya task zote, na wanalipa in lumpsum of 10 tasks.
Sasa trend nayoiona kila baada ya task mbili kuna task moja ya deposit pesa alafu wanakulipa faida ya 30% kila baada ya dakika kumi.
Naona kuna watu wanachangamkia fursa ya kudeposit sasa sijajua ni kweli wanadeposit au ni wale wale wanaedit miamala.
Maono yangu jinsi watu watakavyoliwa.
Kwanza wanawesa kuwa wanamminya mmoja mmoja. Mfano wakiwaminya watatu ambao wameshadeposit kwenye group la watu 3000 siyo rahisi kuguundua.
Pili huenda wanasubiria timming ya kuzima group siku maokoto yakiwa mengi.
Note: Jamaa hawana ofisi au address ya kueleweka
Hata kama mshamba_hachekwi ila hapa acha nicheke tu.Tokea niliwe 16k yangu na mulaempire 2021, ushamba wote umenitoka.
Haha ! Nakuletea sahivi boss. Uko mzima lakini.Naomba Alufu mbili wa kwetu[emoji2]
Kumekucha 😅poleWakuu ilinitokea mimi. Nimepigwa hela dah hata siamini. Wale jamaa matapeli.
Nimejilazimisha kuelewa🤣Umeelewa unieleweshe?
Nimejaribu kuelewa hata kinguvu nimeshindwa[emoji2]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sawa.Nimejilazimisha kuelewa[emoji1787]
Hebu soma Tena utapata kitu
Mzima sana Pendaeli...Haha ! Nakuletea sahivi boss. Uko mzima lakini.
Waache tu wa deposit ilimradi baadae wasije hapa kulialia kuwa wameliwa.Kuna mchezo wa watu wanajiita Jumia, wao wanasema wanafanyankazi ya matangazo online. Wanakupa task ya kuweka like kwemye video za youtube then wanakulipa buku (1k). Unatakiwa kufanya task zote, na wanalipa in lumpsum of 10 tasks.
Sasa trend nayoiona kila baada ya task mbili kuna task moja ya deposit pesa alafu wanakulipa faida ya 30% kila baada ya dakika kumi.
Naona kuna watu wanachangamkia fursa ya kudeposit sasa sijajua ni kweli wanadeposit au ni wale wale wanaedit miamala.
Maono yangu jinsi watu watakavyoliwa.
Kwanza wanawesa kuwa wanamminya mmoja mmoja. Mfano wakiwaminya watatu ambao wameshadeposit kwenye group la watu 3000 siyo rahisi kuguundua.
Pili huenda wanasubiria timming ya kuzima group siku maokoto yakiwa mengi.
Note: Jamaa hawana ofisi au address ya kueleweka
Mwaka mpya ni mzuri sana kwangu , hope nawe.Mzima sana Pendaeli...
Heri ya Mwaka Mpya 2024.
Task 1Umeelewa unieleweshe?
Nimejaribu kuelewa hata kinguvu nimeshindwa[emoji2]
Task 6Umeelewa unieleweshe?
Nimejaribu kuelewa hata kinguvu nimeshindwa[emoji2]
Amen Amen....Nami namshukuru Mungu..Mwaka mpya ni mzuri sana kwangu , hope nawe.
Ukala mwenyewe sikuu zote [emoji3064]
ILI WAWATIE ADABU WAPUMBAVUNingekuwa na uwezo, nngetoa vibali vya kufanya kazi bila kodi kwa makampuni yote ya kitapeli.
Nitakaribia japo mwaka usha songa sana!Amen Amen....Nami namshukuru Mungu..
Karibu basi....si mwaka bado mpya[emoji28]
Ebu weka contact tule buku buku zao kwanzaTask 6
commercial order
Group projects (2-4 orders). The trader confirms that the deposit has been paid.
Notify trader. According to market demand, different PIs are now recruited to help promote various brands, and the number of locations is limited.
The merchant has paid a deposit, which is refunded immediately after ten minutes, payment in advance is required! Safe and reliable!
Prepayment TZS 30,000 Cash back TZS39,000 【Newcomer's Benefit】30%!
Prepay TZS70,000 Cash back TZS91,000 【Group welfare】30%!
Prepay TZS200,000 Cash back TZS260,000 【Group welfare】30%
Prepaid TZS500,000 Cash back TZS650,000 【Group welfare】30%
Prepaid TZS1,000,000 Cash back TZS1,400,000 【Group welfare】40%
Prepaid TZS3,000,000 Cash back TZS4,200,000 【Group welfare】40%
Prepaid TZS5,000,000 Cash back TZS7,000,000 【Group welfare】40%
Prepaid TZS10,000,000 Cash back TZS15,000,000 【Group welfare】50%
Prepaid TZS30,000,000 Cash back TZS45,000,000 【Group Benefit】50%
Prepaid TZS50,000,000 Cash back TZS75,000,000 【Group welfare】50%
For workers who wish to join, please contact the receptionist, thank you.
For traders who have paid a deposit, a professional master will complete the job one by one. 5-10 minutes later, the salary will be returned. Tradesmen who have paid a deposit will have their wages returned immediately after approximately 10 minutes.
Fast professional work will take you through all the processes, some of which can be completed in 5-10 minutes.
Next task is at 11:10am
Each prepaid task corresponds to a different merchant, so it is necessary to contact the receptionist to provide a card number.
The Company prohibits the use of USSD payments to merchant accounts