Harufu ya utapeli, kuna watu watalia na kusaga meno soon

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Link unachukuaje..nielekeze niwachukulie
 
Halafu watakuja hapa kulalamikia Serikali wakati ni jambo binafsi la kutumia commonsense.Wakipigwa huko wanajivua uwajibikaji.Mjini shule.
 
Huu ni utapeli wa mchana kweupe kabisa huwezi kupata faida ya 30%-40% kwa ku-order vitu mtandaoni ambavyo hununui.! Swali la kujiuliza hio faida wanayokulipa wao wanapata wapi?

Huu ni mtego, tupunguze tamaa za pesa za ku-download.! Vilio vingi vinakuja
 
Watalia soon..alafu nmegundua lwenye hilo group watuma pesa almost ni wale wale, huenda ni chambo, alafu wanajisifia kununua vitu vya kijinga mara lunch mara kofia , mara saa ujinga mtupu.
 
Nililambwa Dola 100 huku najiona.

Mimi Hawa jamaa huwa nawapiga sana ila hiyo siku waliniweza kweli kweli nahisi walishanishtukia mchezo wangu.....nilivyowatumia hyo Hela wakaniambia niongeze Tena Dola 180 Ili niweze kupata milioni 1, hapa taa nyekundu ikawaka coz hao jamaa wakishaanza kukuambia ongeza Hela ujue hapo muda sio mrefu unalambwa. Nikaamua kupotezea tu

Mimi mwanzoni walikua wananitumia 2000 Kila task so Kwa siku nilikua napata elfu kumi, ilivoenda mbele Zaid nikawalamba laki na nusu 150000. Wakanipa task ya Dola 100 nkajisema hapa Bado muda wa kutapeliwa ngoja nitume tu, lahaulaaa mapicha picha yakaanza nikajiambia tu Leo tapeli ametapeliwa. Wife naye akawa ananizidisha machungu Kila nikikaa nae anacheka tu...kupooza machungu nikajiendea zangu bar kupiga Hanson choice

Saiv Kuna namba nyingne imejiingiza kingi sasa huyu atapooza machungu yangu yote
 
Mimi wamenipiga 70,000/= nilituma wakasema order za 70,000/= zimeisha niongeze 130 ninunue order za 200 nikajua parapanda imeshalia
 
Mimi wamenipiga 70,000/= nilituma wakasema order za 70,000/= zimeisha niongeze 130 ninunue order za 200 nikajua parapanda imeshalia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ila wabongoo tamaa zitatuaa wapo watu wengi wanaliwaa sanaa ndo maana majamaa hawaachi huo mchezoo
 
Kuna nyimbo moja ya ben pol anaimba " ooohh! BAdo kidogo!! Ooh BAdo kidogoo!!!!" 🎢

Ujumbe wangu KWa leo.... "Mbuzi ni mbuzi tu, unaweza mchapa viboko na kumfukuza asile majani yanasumu.. ataondoka.. lakini badae atarudi tena palepale na kula tena yale majani yenye sumu huku akijiona mjaanja"
 
Nachosikitika mimi kuna waranzania wenzetu watapigwa na hii, na mwakani watakuja tena watapiga wengine
....halafu WATAIOMBA Serikali ifuatilie !! Saa hizi anaona Raha TU na maokoto !! [emoji846][emoji846]...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Reactions: Tui
Mbuzi wako wengi sana wanafukuzwa kutoka kwenye majani lakini bado wanakuja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…