Hivi diof wa senegal na Boban nani hana ni dhamu kuna wachezaji wenye nidhamu 0 lakini wana tumikia mataifa yao tatizo kwetu hatuna watu wa kushugulika na watu kama Boban....mwangalie Balloteli,Gaza nk....
Jamani ehee hivi lakini huyu Haruna Moshi Boban ana miaka chini ya 23 kweli? kama kweli ana miaka chini ya 23 na amekataa kuchezea U23 team basi anastahili adhabu kali kweli kweli
lakini kama umri umezidi miaka 23 alafu expart kocha anamshawishi ku foji umri ili acheze U23 team basi kocha huyu pamoja na benchi lake lotee la ufundi wanapaswaa kufukuzwaa kwa kuchapwaa bakoraa au mikia taaa isiyopungua 800 hivi kwa maaana likibumbulukaa ni nchi ndio itakayo aibikaa nani anakumbuka sakata la david mwatobe wa serengeti boys?
Kuna kocha wa timu ya ligi kuu ya uingereza alisha wahi kushangilia goli na timu pinzani baada ya timu yake kufungwa..hivi alifukuzwa...
Kama Kocha alikuwa na haja ya kumwita kikosi cha kwanza angemuita moja kwa moja, si lazima mpaka acheze under 23. Bombani kacheza game nyingi tu kwenye kombe la Kagame, sasa anachotaka huyu kocha ni nini zaidi? Ku - justfy nini? Bombani ni senior player wa nchi hii na lazima aheshimiwe.
Cha msingi kama hataki kumwita aache, si lazima kila mchezaji achezee nchi yake - huyu kocha naye ameanza kuwa na matatizo kama maximo.
Kufuatia mlolongo wa matukia ya mwanandinga Haruna Moshi Boban kukataa kuichezea timu ya taifa U-23, dhidi ya Ushelisheli hivi karibuni kule Arusha imenikumbusha rekodi yake mbovu ya nidhamu.Si kule Simba tu toka nyakati hizo ila pia aliwahi kuingia na kopo la bia U/Taifa,kukacha mazoezi na hivi majuzi baada ya fainali ya Kagame Cup chap chap alibadili nguo akavaa jeans na T shirt na open shoes, baada ya kukabidhiwa medali akaivua pale pale mbele ya mgeni rasmi.Hii pia imenikubusha ni kwa nini Maximo aliwahi kusema hana nidhamu hata kidogo na humpiga chini jumla kuichazea Stars.
Ni mtanzania mwezetu na huna haki ya kuamru asilitumikie taifa lake....niteja kwa sababu za baba yako fisadi anae nunua madawa na kutu halibia vijana wetu...To hell. Watanzania Hatuhitaji kutumikiwa na mateja.
Haruna Moshi amezaliwa 31 may 1987..ikiwa na maana umri wake ni miaka 24...Na linapokuja suala la kuitwa katika kikosi cha U23 si jambo la kushangaza na wala huyu kocha hakukusudia kupotosha umma,isipokuwa hili lipo katika soka,mfano mashindani yaliyopita ya European U21 ambayo walishinda Spain,walikuwa na Juan Mata wa Valencia,ambaye umri wake ni miaka 23 na Fainali za michezo ya Olympic kwa upande wa soka inashirikisha wachezaji wa U23 lakini kila timu ina nafasi ya kuita wachezaji watatu waliozidi umri miaka 23.Jamani ehee hivi lakini huyu Haruna Moshi Boban ana miaka chini ya 23 kweli? kama kweli ana miaka chini ya 23 na amekataa kuchezea U23 team basi anastahili adhabu kali kweli kweli
lakini kama umri umezidi miaka 23 alafu expart kocha anamshawishi ku foji umri ili acheze U23 team basi kocha huyu pamoja na benchi lake lotee la ufundi wanapaswaa kufukuzwaa kwa kuchapwaa bakoraa au mikia taaa isiyopungua 800 hivi kwa maaana likibumbulukaa ni nchi ndio itakayo aibikaa nani anakumbuka sakata la david mwatobe wa serengeti boys?
Haruna Moshi amezaliwa 31 may 1987..ikiwa na maana umri wake ni miaka 24...Na linapokuja suala la kuitwa katika kikosi cha U23 si jambo la kushangaza na wala huyu kocha hakukusudia kupotosha umma,isipokuwa hili lipo katika soka,mfano mashindani yaliyopita ya European U21 ambayo walishinda Spain,walikuwa na Juan Mata wa Valencia,ambaye umri wake ni miaka 23 na Fainali za michezo ya Olympic kwa upande wa soka inashirikisha wachezaji wa U23 lakini kila timu ina nafasi ya kuita wachezaji watatu waliozidi umri miaka 23.
Huyu level yake ni kucheza ndondo au mchangani sijui kwa nini hawa jamaa tulio wapakata juzi wanamng'ang'ania mchezaji ambae hana nidhamu kiasi hiki
Ni mtanzania mwezetu na huna haki ya kuamru asilitumikie taifa lake....niteja kwa sababu za baba yako fisadi anae nunua madawa na kutu halibia vijana wetu...
kwa ninavyo jua makabila mengi hapa tanzania mtu alie lika moja na baba yako basi ni baba yako....hivyo basi uuvyazwaji wa madawa ya kulevya una fanywa na watu wazima majina anayo Ki-kwete ndiyo wanaotuhalibbia vijana...kama vijana ndiyo wa kulaumiwa basi wauza madawa tusi wakamate tuwakama watumiaji au unasemaje.....Tena ni hasira na nyie mnao jiita watoto wa wakulima halafu mna tusariti hivi hivi pamoja na kutuzuga na machozi ya kinafiki.....nisamehe kama nilikukwanzaSubiri basi uone kama atachezea tena timu ya taifa ndo utajua nina haki ya kuamuru au sina.... Tena Crashwise unitake radhi kwani Baba yangu ni mkulima (Sio kwamba mi mdogo wake pinda), na yupo kijijini na mimi ni kati ya wale wasioamini kama kuna mtu anaharibiwa... Kama nimesoma na wavutabangi tumekaa dawati moja sikuvuta basi kila anayekuwa teja anapaswa kulaumiwa yeye kwa ujinga na tamaa zake na si vinginevyo..... Kwani wewe nawe teja? Kama la kwanini yeye na sio wewe na mimi?
Hapo kwenye Red ni kama sijakuelewa vile....
Kumbe tatizo ni mboga wanazotumia.....tuwashauri basi wasiendelee kutumia mbonga za mmea ili wasiendelee kutoa beki 3....Ndio maana wanatoa mabeki 3.
Timu ya Taifa kukutana kwake ni mara chache na wachezji wanakaa pamoja kpindi kifupi na klabu wachezaji wanakuwa pamoja muda mrefu,pengine kocha alitaka kumuona anauwezo gani anapokutana na wachezaji ambao hajazoeana nao, na pengine pia alitaka kumuona jinsi atakavyo itikia wito kutokana na mwenendo wa mchezaji husika.Hawa makocha wetu nao wana matatizo sana, Boban kacheza mechi ngapi za mashindano ya Kagame, kama alikuwa na nia ya kumwona kwa nini asingehudhuria mashindano ya Kagame, kwa hiyo kila mchezaji anayetaka kumwona atakuwa anasubiri mechi ya kirafiki ya under 23 ili awaone?
Hivi diof wa senegal na Boban nani hana ni dhamu kuna wachezaji wenye nidhamu 0 lakini wana tumikia mataifa yao tatizo kwetu hatuna watu wa kushugulika na watu kama Boban....mwangalie Balloteli,Gaza nk....