Harusi imebaki siku 3, send-off ikageuka msiba! hii story ya afrah ina maswali mazito

Kama ni usukumani hawachelewi kuroga. Back in years kuna kaka yangu kwa sasa ni marehemu alipiga mimba binti mmoja ila mimba akaikataa na kisha kulazimisha kuoa mwingine aisee kilichotokea bibi harusi aliangukiwa na bafu la udongo na kufa palepale
 
Abortion impact....umeona kwa jicho la mbali ila tuseme si huko.Lakini imenigusa ,,,ogopa sana kukutana na mtu alifanya abortion kadhaa na uko naye kwenye kumalizia ujana wake..trust me..the hell is there live!
 
mbona watu kibao maelfu ya watu wanapata mafanikio hawapati madhara?

diamond, mo dewji. fei toto, mama samia, netc
Sijajua kwa hao wengine ila hawa waarabu mhh......huwajui hawa Waarabu hamna mwarabu anaye fungua kiwanda/biashara au kuingiza roli barabarani bila kafara hayupo si wengine tume ya shuhudia,halafu hata hawashtuki kwao ni kawaida.
 
Kwa mujibu wa dada yake kasema send off iliisha vizuri na alikaa siku 2 ya 3 akaanza kuumwa, hakuumwa siku ya send off
 
Sijajua kwa hao wengine ila hawa waarabu mhh......huwajui hawa Waarabu hamna mwarabu anaye fungua kiwanda/biashara au kuingiza roli barabarani bila kafara hayupo si wengine tume ya shuhudia,halafu hata hawashtuki kwao ni kawaida.
Ila watu kwa kushuhudia uongo! Kama ni rahisi hivyo mbona usiue na wewe utajirike? Rafiki yangu ananiambiaga yaani saivi tukipata msiba tu kwenye ukoo wanaanza kupigiana simu G tayari keshafanya yake, na wengine hata ukifika msibani wanakukwepa eti kisa una sasampa wanajua unaua hawajui nina madeni ya mabilion bank usiku nalala masaa mawili naamka hasa biashara ikiwa mbovu mwezi huo unawaza marejesho tuu unabaki kuhamisha madeni kuliko utoe kwenye biashara unaenda kwa jamaa anakupa milion 100 unarejesha unabaki kumtafutia mshikaji usije ukakwama akashindwa kukusaidia baadaye ila wenzio wanadhani ukiua tu unatajirika
 
Aisee
 
Sina haja ya kukulazimisha ila ninacho ongea na kukijua na nimekiona. Sasa swala la kuua kila mtu na moyo wake, ila nimeona makafara ya Wanayama ya kitolewa sina haja ya kushuhudia mtu uongo.

Nimshuhudie mtu uongo ili iweje? Then nipate faida ipi?
 
Kwa kawàida tu sio partners kwenye biashara, sio mganga wake, tajiri akushirikishe mtu usiyeongea lugha moja mezani kwenye makafara kweli?? Aaghh weee mi takuwa wa mwisho kuamini eti umekuwa ukiyaona wakitoa kafaraaa siku zote masikini muulize siri za utajiri wa mtu afu anakusimlia utafikiri mganga wake na hapo hana ukaribu na tajiri hata mmoja akajua biashara zinafanyikaje anapata madeal kinamna gani ila anakwambia anatoaga kafara wajameni tufanyeni kazi utajiri uko kwenye bidii za kazi, mikopo, uaminifu, connection nzuri za deals
 
Sasa wanagawa mpaka hizo nyama kwa watu,sasa hapokuna usiri gani ? na zinafanyika mchana kabisa.
 
Sasa wanagawa mpaka hizo nyama kwa watu,sasa hapokuna usiri gani ? na zinafanyika mchana kabisa.
Kuna wakati mtu anapata mafanikio anatamani kupartika na watu hata wa nje, kushare furaha yake ila wa pembeni tunachukulia ni kafara...Niffer Jovin kafanya party yake kachinja ng'ombe ale na mashabiki wakasema ni kafara, je? Unahisi ni rahisi mtu kuchinja ng'ombe tu afu anapata utajiri, Kama rahisi watu tungetafuta pesa ya kununua ng'ombe wa kafara afu tukae tusubiri kutajirika kwanza nani angekubali kubaki masikini kama ni rahisi hivyo
 
Inasikitisha sana ,usikute mme alivunja uhusiano wake ili aje kuwa na Afra ila ex akaona labda Afra ndiyo kalivunja penzi lake ,ex akavuka maji pemba kuitafuta Tanga na biashara ikaishia siku ya SEND-OFF.
 
Sikulazimishi endelea kuamini unacho kiamini wewe,uzuri ninaongea ninacho kijua na kukiona.
 
mbona watu kibao maelfu ya watu wanapata mafanikio hawapati madhara?

diamond, mo dewji. fei toto, mama samia, netc

Kwenye haya maisha unaweza kumuona mtu anatabasamu ukasema huyu hana changamoto anazopitia ila ukweli ni kwamba kuna mazito anayapitia/ameyapitia wewe kuyafahamu unaweza kushangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…