Harusi imebaki siku 3, send-off ikageuka msiba! hii story ya afrah ina maswali mazito

Harusi imebaki siku 3, send-off ikageuka msiba! hii story ya afrah ina maswali mazito

Kuna wakati mtu anapata mafanikio anatamani kupartika na watu hata wa nje, kushare furaha yake ila wa pembeni tunachukulia ni kafara...Niffer Jovin kafanya party yake kachinja ng'ombe ale na mashabiki wakasema ni kafara, je? Unahisi ni rahisi mtu kuchinja ng'ombe tu afu anapata utajiri, Kama rahisi watu tungetafuta pesa ya kununua ng'ombe wa kafara afu tukae tusubiri kutajirika kwanza nani angekubali kubaki masikini kama ni rahisi hivyo

Na ingekuwa rahisi hata hizo ng'ombe sasa hivi ingekuwa vigumu kuzipata
 
Haya ndio mambo huwa wanafanyiana si ajabu hata huyo ni mashosti zake walifanya yao.
 

Attachments

  • Screenshot_20261103-005955_WhatsApp.jpeg
    Screenshot_20261103-005955_WhatsApp.jpeg
    49.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20261103-010118_WhatsApp.jpeg
    Screenshot_20261103-010118_WhatsApp.jpeg
    46.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20261103-010124_WhatsApp.jpeg
    Screenshot_20261103-010124_WhatsApp.jpeg
    60.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20261103-010109_WhatsApp.jpeg
    Screenshot_20261103-010109_WhatsApp.jpeg
    56.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20261103-010106_WhatsApp.jpeg
    Screenshot_20261103-010106_WhatsApp.jpeg
    73.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20261103-010103_WhatsApp.jpeg
    Screenshot_20261103-010103_WhatsApp.jpeg
    67.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20261103-010041_WhatsApp.jpeg
    Screenshot_20261103-010041_WhatsApp.jpeg
    55.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20261103-010036_WhatsApp.jpeg
    Screenshot_20261103-010036_WhatsApp.jpeg
    50.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20261103-010026_WhatsApp.jpeg
    Screenshot_20261103-010026_WhatsApp.jpeg
    57.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20261103-010018_WhatsApp.jpeg
    Screenshot_20261103-010018_WhatsApp.jpeg
    61 KB · Views: 2
  • Screenshot_20261103-010013_WhatsApp.jpeg
    Screenshot_20261103-010013_WhatsApp.jpeg
    57.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20261103-010001_WhatsApp.jpeg
    Screenshot_20261103-010001_WhatsApp.jpeg
    57.7 KB · Views: 2
Na ingekuwa rahisi hata hizo ng'ombe sasa hivi ingekuwa vigumu kuzipata
Masikini tumenyimwa na uwezo wa kufikiri tunafikiria njia rahisi rahisi, yaani masikini muulize yule pale kapataje hela! Wee atakusimlia makafara hayo mpaka koo linamkauka anaomba maji! Ni sawa anachinja ng'ombe anafanya kafara na wewe umeshindwa nini kufanya kama yeye kama ni rahisi hivyo?
 
Back
Top Bottom