Atulie ni mkando day.Ulifikiri tutakuchekea? Tulia tukukande πππ
Basi angeshangaa tu ila kuhukumu kuwa bi harusi hakuwa na mahusiano mazuri na baba yake bila kujua story yote ni ushakunaku.mleta mada yupo sahihi kushangaa upande wa wakwe kutokuwa na mzazi wa kiume,je alikufa,alifukuzwa nyumbani hakumlea mtoto au kitu gani?ni vingi vya kujiuliza hapa!
Chambo baba, jichanganyeπ€£π€£Mbona sasa ni bikra?
Hulka ya binadamu labda alitaka na hapa jukwaani watu washangae pamoja naye ila deal limeenda wrong kidogo.Basi angeshangaa tu ila kuhukumu kuwa bi harusi hakuwa na mahusiano mazuri na baba yake bila kujua story yote ni ushakunaku.
Ukute na wewe umeingia na card ya singleNipo kwenye harusi upande wa bibi harusi meza kuu hakuna baba,wala baba wadogo wala wakubwa meza kuu wapo mama mama wadogo wajomba watoto wa wajamba kaka zake na dada zake tu
mean kijana kaenda kuoa binti alielelewa na single mother na hakuwa na mahusiano mazuri na baba zake
Tutafukuzwa wote na mme wetuππ½ββοΈHuyu hafai! Atapeleka umbeaπ€£
Kisebusebu na kiroho papo!Basi angeshangaa tu ila kuhukumu kuwa bi harusi hakuwa na mahusiano mazuri na baba yake bila kujua story yote ni ushakunaku.
Kosa la binti ni lipi hata yeye aone aibu? Wewe una uwezo wa kulazimisha mahusiano ya wazazi wako ikiwa wao hawajaona haja ya kuendelea kuwa pamoja? Unajua sababu iliyopelekea changamoto kwenye ndoa ya wazazi wa huyo binti? Who are you to judge?Nipo kwenye harusi upande wa bibi harusi meza kuu hakuna baba,wala baba wadogo wala wakubwa meza kuu wapo mama mama wadogo wajomba watoto wa wajamba kaka zake na dada zake tu
mean kijana kaenda kuoa binti alielelewa na single mother na hakuwa na mahusiano mazuri na baba zake
Kama walikufa kwenye ajali ya bukoba je?Nipo kwenye harusi upande wa bibi harusi meza kuu hakuna baba,wala baba wadogo wala wakubwa meza kuu wapo mama mama wadogo wajomba watoto wa wajamba kaka zake na dada zake tu
mean kijana kaenda kuoa binti alielelewa na single mother na hakuwa na mahusiano mazuri na baba zake
Vp mmeshakula lakini π€Nipo kwenye harusi upande wa bibi harusi meza kuu hakuna baba,wala baba wadogo wala wakubwa meza kuu wapo mama mama wadogo wajomba watoto wa wajamba kaka zake na dada zake tu
mean kijana kaenda kuoa binti alielelewa na single mother na hakuwa na mahusiano mazuri na baba zake
π π π CC Espy_ hii haichekeshi ila nimecheka aiseee!Kama walikufa kwenye ajali ya bukoba je?
Je, mtoto alitimiza wajibu wake?Aibu ya nini sasa,
Watu wasiolewe kisa baba hakutimiza majukumu yake