Harusi ya Alikiba ukumbi/mapambo kugharimu sh milioni 40 za Tanzania

means huyo demu allikuwa nae kwenye mahusiano kitambo...maana jokate sikapata shavu mwaka Jana mwanzoni kabisa ...Mapenzi bhana full kizungu zungu""
Jokate alipigwa kibuti, kule UVCCM aliingia kwa hisani ya naibu rais pia Jenista ni binamu yake wa karibu
 
Jokate alipigwa kibuti, kule UVCCM aliingia kwa hisani ya naibu rais pia Jenista ni binamu yake wa karibu
kumbe jenista " ndiye aliyempigia pande"" so Kiba alimwaga kwanini sasa ""!?

au kwakuwa alikuwa hana msimamo maana alikuwa hakawii kumdhalilisha alikiba"" kila dai akitoa hit lazima aisifie""wakati yupo in luv na ali
 
Mengine yatakuwa too personal , lakini dalili zilianza kwenye uzinduzi wa album ya Kiba mama Kiba kusema hamjui Jokate
 
Men fine yatakuwa too personal , lakini dalili zilianza kwenye uzinduzi wa album ya Kiba mama Kiba kusema hamjui Jokate
naaam nikweli""
geeez huyo bimkubwa alisema hivyo aibu sana"" bila shaka alishtuka "" alishajua kuwa JoJo anamtumia Jamaa ili aendelee kuikuza brand yake kimtindo"""
 
Kwa trillion 1.5 unaweza ukaweka mapambo/ukumbi harusi 37,500 kwa budget hiyo
 
Kweli kila lililo na mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Hatimaye kiba anaoa. Hongera yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…