Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Una kadi?ahsante kwa taarifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una kadi?ahsante kwa taarifa
Hivi huyo atakuwa anaitwa "QueenKiba"?Hongera king Kiba kwa kutuletea queen mrs Kiba
sawa ntafanya hivyo.Pambana na hali yako
Wivu wa nini, au unataka uolewe wewe?Si mbaya sponsor kagharamia kila kitu,chezea wakenya badala ya jamaa kuoa yeye ndo ana.... aiseee acha pesa iitwe pesa
Mkuu we mbona kila post lazima umtag mahondaw ndo vipi
means huyo demu allikuwa nae kwenye mahusiano kitambo...maana jokate sikapata shavu mwaka Jana mwanzoni kabisa ...Mapenzi bhana full kizungu zungu""Kabla Jokate hajapata shavu UVCCM
mkuu ni goma lake tu hilo analo litafuniaga Katanga"" "" so wew kuwa mvumilivu""tu''Mkuu we mbona kila post lazima umtag mahondaw ndo vipi
Jokate alipigwa kibuti, kule UVCCM aliingia kwa hisani ya naibu rais pia Jenista ni binamu yake wa karibumeans huyo demu allikuwa nae kwenye mahusiano kitambo...maana jokate sikapata shavu mwaka Jana mwanzoni kabisa ...Mapenzi bhana full kizungu zungu""
Yess jenistaa kausikaa saana kumpigiaa pande...Jokate alipigwa kibuti, kule UVCCM aliingia kwa hisani ya naibu rais pia Jenista ni binamu yake wa karibu
kumbe jenista " ndiye aliyempigia pande"" so Kiba alimwaga kwanini sasa ""!?Jokate alipigwa kibuti, kule UVCCM aliingia kwa hisani ya naibu rais pia Jenista ni binamu yake wa karibu
Mengine yatakuwa too personal , lakini dalili zilianza kwenye uzinduzi wa album ya Kiba mama Kiba kusema hamjui Jokatekumbe jenista " ndiye aliyempigia pande"" so Kiba alimwaga kwanini sasa ""!?
au kwakuwa alikuwa hana msimamo maana alikuwa hakawii kumdhalilisha alikiba"" kila dai akitoa hit lazima aisifie""wakati yupo in luv na ali
naaam nikweli""Men fine yatakuwa too personal , lakini dalili zilianza kwenye uzinduzi wa album ya Kiba mama Kiba kusema hamjui Jokate
Kawaida sana!!!!!Mkewe mtarajiwa ni mzuri...
Mkuu inaonekana hii habari si njema kwako! ni bora hayo maumivu uliyoyapata kwa habari hii ungeyasikilizia kimya kimya tu!So ?!
Du!! punguza negativity basi shemWakijakutumiana maua meusi na pesa zitarudi?
Hahaha haya shem..za asubuh?Du!! punguza negativity basi shem